lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
NdioAmesema premary
NdioAmesema premary
Ahsante, unajua tena hizi haraka haraka, unajificha kwa Boss Usionekane uko JF.Bore-Bure
Leo nacheza kama faiza foks
Maana hamna namna sasaNatafuta fimbo sasa hivi![]()
Nyoosha mwandiko huoooo
Ahsante, unajua tena hizi haraka haraka, unajificha kwa Boss Usionekane uko JF.

Utakuwa hupati notification tu rudi nyuma kwenye post zako utaona likes zetu za kutoshaThe name mimi najitahid kutoa like lakin mm sipeq naomba ufumbuz tafathali.
Bitoz Naomba uangalie hili tafathali
SanaaaNakuona madam! Ila mwanafunzi anaoneka ana kichwa kigumu.
HahahahaaaaaSanaaa
Mwanafunzi sieehahahaha hahaha we mwalimu duuuh.
Walipwe walau milioniWalimu wana kazi ngumu sana
Mheshimiwa rais inabid aongeze mshaharaa
Poa kakakaka naaaje.
NamasteNi Th Name sio The Name huyo ni mwingine
Acha kulalamika rudi nyuma ulike kwanza post zetu japo page 2
Humu habaguliwi MTU
Huwezi kutoa 1 upewe 100
No shobo
No ufagio
No superstar
...........

Hahahaha hapo ndo ana mwalimu humu humu kapuku forumWrong quote Papaa
Mmmmh bila nguzoWapendwa nawasalimu kwa jina la aliyesimamisha dunia bila nguzo

Sanaaa
Hahahaa jamani hapo ni typing error tu.
Kichwa maji atakuwaMbona zinaonekana mtu ukichungulia...tatizo jamaa alivyoingia tu kapost nyingi sasa anataka tulike ZOTE wkt zetu alizikuta hakulike zote
Ndo tatizo
................
Mmmmh bila nguzo![]()
![]()
Ibrahim for prezidaa![]()
![]()
![]()
![]()
................