Makapuku Forum

Makapuku Forum

Magari ya Volkswagen ni maarufu hapa kwetu na duniani, lakini unajua kuwa kampuni hili la Kijerumani, mbali na kutengeneza magari linatengeneza soseji, eeh, soseji hizi watu wa mjini mnapenda na pia linatenegeneza ketchup-tomato sosi. Nimeona tu nishare na wewe mdau wakati niko kwenye mapumziko naangalia mpira

mueller-turns-groups-strategy-2018-into-a-strategy-2025-after-volkswagen-posts-loss-101478_1.jpg

vw-currywurst-2.jpg
 
Asubuhi njema wadau. Kama mnataka kujua Jipya basi ndugu yenu, binamu yenu wenyewe amepata mafanikio makubwa sana, yaani kifupi, mambo ya korosho yameanza kunawirisha afya yangu. Nimenunua chandarua kile cha pembenne. Sasa hivi nitakuwa naingia kitandani kama naingia kwenye nyumba.

Ninahitaji pongezi tafadhari
 
Hahahaha
Ngoja niwaite ndg zako wakupe pongezi ningendako baba wawili na Tumosa
 
Nashangaa hadi jiwe haonekani![emoji4][emoji4][emoji4]
Jiwe hachelewi kuja kutengua huo uteuzi unaoringia!![emoji30][emoji30][emoji30]
Jiwe atakuwa yupo busy na sherehe za baada ya teuzi![emoji4][emoji4][emoji4]
Huyuu jiwee sijui katekwaa ?
Ebu ngojeni kwanza jiwe ndio nani kama jiwe nae ni kapuku naombeni no yake ya simu jamani nimwambie shida zangu tu
 
Back
Top Bottom