...aisee hata wewe unaniwazia mabaya? Sijui nimuamini nani sasa, nilikutegemea wewe kwa kila jambo lakini naona mashaka yanazidi na hizi si dalili nzuri,
...juisi ya malimau ndo ilimsababishaga demu wa anko wangu muuza mapazia asiwe anaona siku zake, kwa hiyo kila siku ilikuwa poa tu. Anko alitumikishwa sana
...na juzi nimenunua chandarua cha pembenne, yaani kina mlango kabisa, sio vile vyandarua vyenu vimekaa kama linguo la mashine ya kusagia unga. Chandarua classicmbu kuingia hadi wabishe hodi