Makapuku Forum

Makapuku Forum

Si ana yule mganga hua anajitapa nae,?hawezi tusaidia akatoa .?

...yule ni mganga wa jadi, anasaidia kutegua tego, kutoa limbwata, kufukuza wachawi na kuroga unaowachukia hasa bosi wako na pia anarejesha sehemu nyeti kuwa mpya kabisa na kurejesha mapenzi lakini dawa ninayoifuataga kwake ni ile kama nikikutongoza ukanikataa basi ukilala utakuwa unaniota mimi kila wakati
 
Kheeeeee
 
Hiko ulichonacho zaidi ya kichaa kwa binamu obe

...umeanza, mimi nilikuwa naona dalili nzuri lakini kila ukiandika wewe basi naanza kuona giza, hivi nilikukoseaga nini mimi? Kama ni korosho subiri serkali imesema itagawa kilo mbili kwa kila mtu, zangu mbili nitakupa wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom