[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole binamu,,tunaunda tena tume ya kumrudsha kwako....mimi nimeenda na mmenilipia hadi ingilishikozi lakini ndugu yenu nimemwaga mchana kweupe, yaani marybaby hakusubiri japo animwage gizani asione ninavyotoa machozi.
Hahahahaha sasa hv ana chura matata,,toka arud china[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo huyuhyu
Hahaha binamu bhana,,,umekwepa swali langu...ni kweli niligonganisha magari ndo maana nikafukuzwa utrafiki polisi, nilikuwa napataga sana hela yaani kila jumamosi na jumapili nilikuwa nashinda bar nakata mvinyo kama samaki baharini nagonganisha meli na boti za Azam
[emoji23][emoji23][emoji23]mbna mm kaka ake,,silijui hiliMary umemuona baba wawili wake tumosa Ila sasa hivi tumosa ameachwa sema tumosa ameachwa lakini haachiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...jamani sijalipwa binamu yenu, kuna watu wana nia ovu na mimi wanatangaza nimelipwa. Tulikuwa tunahakikiwa wakulima kwanza kuona kama tuna vyeti, sasa zoezi limeisha tumepewa barua tunasubiri hela
Wewe ni shangazi huwezi kuwa jiwe ng'oo!!Mjue mm mtu mzima huyu jiwe mnayemsema ni mm shangazi nateua natengua teuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi hapo tumosa anajiona mnene
Nifungue failiiii au...hapa ndo sasa inabidi kwenda hatua za mbele, kutafuta mafaili machafu ya Behaviourist maana kitendo cha kunifitini nimechukia sana
Shangazi tena???sema jiwe [emoji23][emoji23][emoji23]Shangazi nipo leo mpk nimalize zote[emoji38][emoji38]
Prince huyoooo
Na wewe si useme kuwa unataka kuiunganisha namba 6 mgongoni isomekew 9 mwendo wa mbinuanoooWewe ni shangazi huwezi kuwa jiwe ng'oo!!
Kama nilivyogharamia ya kwako nikakupeleka hadi china rafiki![emoji41][emoji41][emoji41]Atagharamia.
Kinganganiziiii huyuuuu make hapa hakuna cha uvumilivuMary umemuona baba wawili wake tumosa Ila sasa hivi tumosa ameachwa sema tumosa ameachwa lakini haachiki
Kwa nini sifai shangazi?Hapana huyu hafai
Anaofiaaa unatumiaa mayonaaiziiiKwa nini sifai shangazi?
Lakini binamu yule wa siku ile kule ulipokuja kwenye ule uzi si yupo?[emoji6][emoji6][emoji6]Flati yule huyu hamuwezi labda kaka angu ningendako
Na wewe binamu umeanza kufanya teuzi siku hizi!![emoji23][emoji23][emoji23]Flati yule huyu hamuwezi labda kaka angu ningendako
Nani kasema??Yeye ndiye anajiita hilo jina mwenyewe huko kwa rahaa zake!!Kumbe jiwe ni shangaziii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unalazimishaa uteuziii[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Nani kasema??Yeye ndiye anajiita hilo jina mwenyewe huko kwa rahaa zake!!
Hii ndiyo teuzi ya kwanza kwa siku ya leo?Khaaaaa
Kwani baba wawili unataka na ww chura au nakupa moneytalk hautaki au