Wachache sn waliobaki wakifata hili swala la mtt aanze kula akiwa ametimia miezi 6,Kupata mtoto ni safari mpya wazazi huanza kuipitia, ni kipindi ambacho hubadilisha maisha na mipango ya wazazi.
Chakula sahihi cha kumpatia mtoto anayeanza kula ni moja ya mambo muhimu ambayo huwasumbua wazazi wengi.
Kwa kawaida mtoto kuanzia umri wa miezi sita huanza kupewa uji maalumu kama kianzio cha kuanza kujifunza kula.
Makapuku forumndo wapi huko
Milele aminaHahahaha, tupo poa ,tumsifu Yesu Kristo
NmesahauKwahiyo unajifanya haujaona ulichoulizwa
Hi[emoji113] [emoji113] [emoji8] [emoji8]Hi[emoji113][emoji113][emoji113] Binamu
SawasawaEndelea kulinda jukwaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu we Mtu Chake....mbona Shualina anakanusha kuwa unamkula lakini wewe hukanushi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahhahah
Unajua kukulwa kirahisi eenh watu hatulwagi kifwala
We miss u tooMakapuku Nawasalimia.alafu nawamiss [emoji45]
Milele amina
[emoji173] [emoji173]We miss u too
[emoji8] [emoji8]Kumbatio hilo pokeeni makapuku toka kwangu [emoji4][emoji4]
[emoji120] [emoji120] [emoji8] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Yote yenu wallah
Hahahahaha
Kwahiyo ukiona hivyo unaona tunakulana simjui anafananaje hanijui nafananaje
Ana bebez wake huyo waone vile wajue ananikula nianzishiwe thread siku hizi nimeamua kuwa binti mpole tu
Tumaini letuKristo ....
Hahahaaa[emoji173] [emoji173]
Mambo ya Faraji ati.
Hatukusamehi ng'oo hadi kwanza utuelekeze kisusio na mbege vinapatikana wapi![emoji4][emoji4][emoji4]Hahahaha, yameisha shangazi ,ila sina mbebezi wala matako ya mbebezi ,[ na kama yupo ajitokeze]
ilikua ni changamsha genge tu ,naona km imekua tofauti
Samahani kwa wote kwa usumbufu hapa makapuku
Tuendelee Kufurahia Uzi wetu kwa Aman