Hapana NN, naonekana asubuhi na usiku maana naviziaga Wi-Fi ya kazini. Ila wikend ni tofauti kidogo
Unaonekana asubuhi sana. Vipi wikend yako
Kuna Jipya
Ha ahahaha, hongera sana, mjaribu na miss tequila uone utamu wake, jpili itakukuta vizuri kabisaJipya? Leo nimemgaragaza mnyama [Konyagi]......
Hapa nilipo niko freshi kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha, sina tena ujanja ,asee mambo haya
Kfpande zipi saivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukoo mkubwa huukumbe mimi na wewe ni ndugu
Habari ya asubuhi wapendwa
Nmewamiss mm
Tumsifu Yesu Kristo ...
Kristo.....
Hahahaha, kalala sitaki kuamsha sasa,ila atakuja namuandalia BreakfastShualina yuko wapi?
Kwahiyo unajifanya haujaona ulichoulizwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kitu gani eti mke mweee