Niko poa,shangazi hangover imeshaisha?[emoji16][emoji16][emoji16]Marahaba toto za ww
Ya Patrick hajauchuna season 2 anauza whatsappEti nimeisahau [emoji46]alieipost mpk 8 thn kauchuna kimya
Zimeisha toto ndio nimetoka church hapaNiko poa,shangazi hangover imeshaisha?[emoji16][emoji16][emoji16]
Rafiki ile chura yetu ya Kichina inaendeleaje?[emoji16][emoji16][emoji16]Makapuku Nawasalimia.alafu nawamiss [emoji45]
Ruksa kukulwa [emoji15][emoji15]
Kuna usalama ?Shualina yuko wapi?
Wooooooooooiiiiiiiiiiiii kitu cha pogba utamuaa Nyani NgabuKwahiyo unajifanya haujaona ulichoulizwa
Kwani shangazi Daslam hua inanyesha mvua gani eti ?[emoji32][emoji32]
Nyongo mkalia ini wangu mambo?[emoji4][emoji4][emoji4]Hivi nani amekuficha?
[emoji23][emoji23]imezaa matunda,uscheze mbali badae ntakuletea uone matokeo [emoji85]Rafiki ile chura yetu ya Kichina inaendeleaje?[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji33][emoji33] Heee..asubiri nimalize zote kwanza ndio aniuzie.Ya Patrick hajauchuna season 2 anauza whatsapp
Kumbatio hilo pokeeni makapuku toka kwangu [emoji4][emoji4]Chukua jukumu la kuwaonesha upendo wanaokupenda.
Wakati mwingi tunasingizia kazi na harakati za kutafuta chakula lakini huja siku ukafutwa kazi. Pesa nazo huisha mtu ukafilisika. Lakini jamii huwa nawe hata baada ya kufariki.
Tupende wanaotupenda!View attachment 945515View attachment 945516
Hahhahah hiyo sijui amemaliza zote nane season ya kwanza season ya pili na kuendelea anauza[emoji33][emoji33] Heee..asubiri nimalize zote kwanza ndio aniuzie.
Alafu naitafuta Jini MWEUSI sijui iliishaje kwakweli na sijui ilipo pia.