Makapuku Forum

Makapuku Forum

jamaniiii. Hamna bana nabisha ni uvivu tu wa wazazi. Mtoto ni mtoto hana cha usasa na uzamani basi tu mazingira anayojikuta nayo yanampelekesha,just imagine mtoto wa gigy money yule huwez sema kana njaa ndo maana kanalishwa mapema bali mama mtu hana muda wa kukalisha tako kunyonyesha.
Numbii sio uvivu tena watoto wa kiume wana njaa mnooo nina jirani yangu hapa ana mtoto wa kiume akimnyonyesha maziwa mtoto hashibi ameanza kunywesha uji na huyo dada ni mama tu wa nyumbani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom