Makapuku Forum

Makapuku Forum

Alaaaa! Kuuumbe!

Haya basi sawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila mbona kasema alikuwa anakutengenezea breakfast....
Hahahahaha
Kwahiyo ukiona hivyo unaona tunakulana simjui anafananaje hanijui nafananaje

Ana bebez wake huyo waone vile wajue ananikula nianzishiwe thread siku hizi nimeamua kuwa binti mpole tu
 
Hahahahaha
Kwahiyo ukiona hivyo unaona tunakulana simjui anafananaje hanijui nafananaje

Ana bebez wake huyo waone vile wajue ananikula nianzishiwe thread siku hizi nimeamua kuwa binti mpole tu

Haya Shualina.....usijali.

Mi natania tu bana, maana kweli usije anzishiwa thread bure kisa utani wa Ngabu halafu hali ya hewa ikachafuka.

Jumapili njema.
 
Back
Top Bottom