Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu Obe toka ameuza koroshow,,anaitafuta no ya Wema sepenga kwa udi na uvumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakufa kabla hajamaliza hela zake pata pesa tujue tabia yako wouzeeeerrrrr wouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
...hela ninazo, sema sijalipwa hadi uhakiki umalizike, kwa hiyo wale wakulima ambao wanalima bila kuwa na cheti cha fomu foo watasumbuka sana, mimi ninacho cha mjomba wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom