Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
Screenshot_20181123-095702.jpeg
Screenshot_20181123-095730.jpeg
 
Tumosa na ningendako nawatakia maandalizi mazuri ya wikend. Ndugu yenu mimi sijambo na ninafuatlia kwa umakini kozi ya kiingilishi mliyonilipia, ila ticheri kasema twisheni itanisaidia zaidi, gharama ni elfu 41 mia tano tu, mnipe mapema leo maana wikend imekaribia
Kwahiyo binamu umewaona tumosa na kaka akee baba wawili tu sisi wengine sio watu humu eenh
 
Shukran sn na iwe njema kwako pia.
Alhamisi ni nini eti.? Alafu jana nimekuita wee ukajifanya husikii
Alafu kuhusu umbo Mchina amenijazia chura mpk amenielemea


...niwie radhi, uliponiita nilibanwa na hamu/haja za kimwili nikshindwa kuandika ikabidi nikutumie tu wimbo kimoyomoyo, ila nimegundua kuwa huwa hauniwazi, ingekuwa ndiyo basi dedication yangu ya moyoni ungeipata
 
Serikali ya Zimbabwe imetenga dola billioni moja kufidia wazungu waliopokonywa mashamba yao wakati wa mpango uliozua utata ulioendeshwa na rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe.

Mataifa ya Magharibi yaliweka hilo kuwa sharti kuu kabla hawajaondoa vikwazo vilivyoporomosha uchumi na thamani ya sarafu ya Zimbabwe.
Screenshot_20181123-101508.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom