Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Picha hizi nne zimechaguliwa kuwania tuzo ya Picha inayochekesha sana yaani Wildlife comedy Photography ya mwaka.
Ipi inakuvutia zaidi?
Picha itakayoshinda itachapishwa kwenye jarida la Bornfree na kuuzwa ilikuchangisha pesa za uhifadhi wa wanyama na mbuga za Wanyama kote duniani.
Ipi inakuvutia zaidi?
Picha itakayoshinda itachapishwa kwenye jarida la Bornfree na kuuzwa ilikuchangisha pesa za uhifadhi wa wanyama na mbuga za Wanyama kote duniani.