vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,498
Alipatikana anti yakoVp alipatikana? Kama bado npe mm hyo pesa nikamlete
Alipatikana anti yakoVp alipatikana? Kama bado npe mm hyo pesa nikamlete
Mbona akikuamkia Behaviourist unaitikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeanzaaaa unataka kunifukuza
Shikamooo kaka angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko zangu wamelala tayali?
Ni anti yenu mie mke mwenzieAlipatikana anti yako
Hi[emoji113][emoji113][emoji113]Binamu!Mbona akikuamkia Behaviourist unaitikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Miss u binamuHi[emoji113][emoji113][emoji113]Binamu!
Wewe humu unalalamika ooh sijui kuchat nn hakuna wa kuchat nae
Hivi ukija unajipostia tu na kuondoka nani atakujibu kwa mfano huquote mtu
Naona leo umechukua bila kupenda nafasi ya Tumosa ya kupiga maombi!Mungu tunakuomba uibariki na kuiongiza timu ya Taifa ya Tanzania katika mchezo dhidi ya Lesotho...... Mungu ukawabariki walinzi wake wote bila kumsahau Manula..... Ukawatie nguvu na wepesi katika mipango wale viungo wetu..... Usiwasahau washambuliaji Mungu.
Alama tatu kwetu ni muhimu kuliko kwa Lesotho....
Marhaba dada angu,,habar za jumapili?Shikamooo kaka angu
Mkuu leo tumerudi kutoka China na mambo ni moto![emoji91][emoji91][emoji91]China linii
ShikamoooNaanza na wewe
njema akina wawili hawajamboMarhaba dada angu,,habar za jumapili?
Kwema huko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]a [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] churaMkuu leo tumerudi kutoka China na mambo ni moto![emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 938600
Ndiyo,ni rafiki yangu marybaby huyo![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]a [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chura
Huyo ndo @marybabya
Hawajambo dada,,wenzie wazima huko?njema akina wawili hawajambo
Mie mzima mpenzi,vipi wewePole.
Mzima mummy. ?