Makapuku Forum

Makapuku Forum

Monday tena?? , kesho unaenda wapi mkuu?

...kesho naenda jogging asubuhi, niko kwenye timu ya maveterani, tunaenda jogging then tunaoga soka kwenye saa nne nne hivi tunaenda kula supu na bia. kifupi mazoezi yetu ni kutafuta njaa na appetite ya bia na supu.

Mchana nakaa kuangalia series kidogo binge watching - nimeanza kurudia kuangalia GOT tangu mwanzo maana vitabu vyake vikubwa mno
 
.
Screenshot_20181117-065935.jpeg
Screenshot_20181117-065951.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom