Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Mvua inanyesha huku,,baridi tu,,ni mwendo wa kupanda mbegu na kusubiria mavuno[emoji23]Week end iko poa baba wawili nimejilaza tu hapa vipi we uko mvua inanyesha
Mvua inanyesha huku,,baridi tu,,ni mwendo wa kupanda mbegu na kusubiria mavuno[emoji23]Week end iko poa baba wawili nimejilaza tu hapa vipi we uko mvua inanyesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shangazi weweShida ipo sana baba wawili ili ukaliwe na nyenyere jamani
Tatzo yy haona shida mkuuHapana mkuu sina sababu nyingine ila naona aibu mie shangazi yangu mpendwa kuliwa!![emoji19][emoji19][emoji19]
Naona aibu mie![emoji19][emoji19][emoji19]Kwahiyo hutaki shangazi yako aliwe eenh
[emoji113] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hi[emoji113][emoji113][emoji113] binamu!
[emoji106] [emoji106]Naenda kutekwa tena mie kasome uko Patrick kaweka season 1 sema sasa ndio kapost tofauti tofauti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watoto wa kudowload nimekuachia mjaze ulimwengu baba wawili wewe na dada ako
Kama nakuona baba wawili uko ulipoMvua inanyesha huku,,baridi tu,,ni mwendo wa kupanda mbegu na kusubiria mavuno[emoji23]
Mm apa jamani shangazi yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shangazi wewe
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Shida ipo sana baba wawili ili ukaliwe na nyenyere jamani
Ebu niambie jamani unaona aibu ya nini kwani shangazi yako akiliwa we unamchungulia mpaka uone aibuNaona aibu mie![emoji19][emoji19][emoji19]
Vipiii wewe[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mvua inanyesha huku,,baridi tu,,ni mwendo wa kupanda mbegu na kusubiria mavuno[emoji23]
Shikamoo shangaziVipiii wewe
Umeanzaaaa unataka kunifukuzaShikamoo shangazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shamba langu msimu huu sipandi,,sema ntakuwa busy kuliandaa tuKama nakuona baba wawili uko ulipo
Shamba lipii hilo baba wawili usikute umeongea kwa code[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shamba langu msimu huu sipandi,,sema ntakuwa busy kuliandaa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko zangu wamelala tayali?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Shamba kama shamba,,wa mkoani huku huwa hatuna mambo ya code shangazi[emoji23][emoji23]Shamba lipii hilo baba wawili usikute umeongea kwa code