Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mi nna nia njema kbs..na we ndio unataka nikose za korosho japo mbahili hatari..sijui tumteke,?

...ha hahahaha, sasa mkiniteka mtapataje hela!! Maana hela ziko na wanajeshi saa hizi, na wakishamaliza kutuhakiki basi wanatupa chetu kila mtu ajijue mwenyewe, na wametukataza kugawagawa hela
 
...sijalipwa bado anko, wanatuhakiki kwanza, kuna wakulima feki na hawana vyeti kwa hiyo wanatafutwa wapunguzwe, sisi tuliofaulu hatuna shida ila ndo wanatuchelewesha
Tukooo pamojaaa kwenyew mahesabu
 
...binamu, nilikuwepo sana humu, sema nilisahau pasiwedi ya kucomment ndo nikawa najisomea tu sina namna.

giphy.gif
ila mida hii ndiyo unakuwa more active eeehhhh!!
 
Kumbe unataka ufundishwe kikongoman binamu,hukusema mapema sasa

...nilikuwa sijajua kama nitalipwa hela ya korosho, sasa kicongo ninakitaka maana nimeshaongea na rapa wa Mashujaa band atakuwa ananirusha kila wimbo, akinitaja mara moja anapata buku bee, akichombeza na sifa za kunipamba basi anakula mwekundu wa msimbazi haraka sana
 
Kumbe ndio yalikuwa mahesabu yako hayo,,hatukujua aisee,, mtt fulu kuongelea manoti tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom