Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nimekumiss pia na ningekuwa najua kukwambia nakupenda kwa kiinglish labda ungenielewa. Hebu niambie nisemeje kabla wafitini wangu, watu wenye roho ya korosho wanaoshangaa mimi kukutaka wewe hawajaja