MfyuuuuuuNamjuaa mbaya wangu huyu
Wera wera[emoji16] [emoji16]Mfyuuuuu
Mm hutanipa binamu[emoji39] [emoji39] [emoji39]....hayo makopa kayanunua kama wabunge wa upinzani, asikutishe.
Kama vipi na wewe nipe makopa ajue kabisa kuna maisha bila kuhonga. (Wallah tena, nikilipwa pesa yangu utapenda, wewe peke yako)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na usisahau nimepita kwa wale wamasai kuangalia kama wameleta shanga za kumwekamweka na ile dawa ya kusaidia kuchelewa kukojoa
Adim sn ndo kutekana au.?Npo mpenz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo umekuwa kijana binamu.....usiende beibe, njoo Ntwara tuyajenge, au mi ndo nije hapo Dar
Kaka yngu shikamoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anajaribu kupapasa [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo umekuwa kijana binamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja ukoo ukae kikao tumsapot aisee,,hatuwez kukubar hv hvSijui binamu yako anakwama wapi kwakweli.ataambilia patupu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntampeleka kwa rasi simba ashindwe yy tu
Msalimie sana binamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzima mimi hofu ww tuu.
Nipo naelekea mtwara kuchukua korosho zangu 2kg halafu nielekee huko
Yy atataka kumtumia tu huyo churaAlafu hataki kugharamia mpambano
Wapi sasa[emoji126][emoji126][emoji126]
Marhaba dada,,vp kwema huko??Kaka yngu shikamoo
Msaidieni kbl sjarudi toka china, akala kwa macho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binamu kuna sehem anafeli tatzo ndio hapo