Obe,Shunie na makapuku wote wazima wakuu
Vyomboooo...Furahi dey
Kwa wale mnaotaka kwenda China Behaviourist na marybaby hakikisheni mnapata paspot size kabisa, ushauri wa aunt yangu Shunie kuhusu chura muuzingatie isije ikatokea kama yule kimada wa anko wangu Lyon Lee jina lake limenitoka kidogo maana alikuwa mweusi sana, kaenda Vietnam kufuata chura karudi bila chura anapendaga kifo cha mende tu siku hizi.
sasa burudikeni na hili songi
Tumosa nakusalimia

Nataka nimpate nimpe shikamoo yake ya leo!Mi pia namtafuta.ukimpata mpe salam
Pokea yangu kwanza,ShkamooNataka nimpate nimpe shikamoo yake ya leo!
Wazima Kapuku'sObe,Shunie na makapuku wote wazima wakuu
Ungenifata nyumban siku ile aliyorudi bwana,ila mbona simuoni tenaSi ndio umekuja nimekwambia
Afu mimi ndomnanisema natukana eeehManinerrrrrr
Mkweo eti.?My sweetheart kipenziiii

Nisaidie ndugu yangu