moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,043
- 16,880
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe niachee na mpendwa wangu @moneytalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe niachee na mpendwa wangu @moneytalk
Nipe tena wabaya wangu leo wakanywe majii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali umenisaidia kuuliza[emoji134] alizwe vipi ss.?
[emoji23][emoji23][emoji23]wabaya wako nikina nani tena jaman leeNipe tena wabaya wangu leo wakanywe majii
[emoji23][emoji23][emoji23]wabaya wako nikina nani tena jaman lee
😑😑Namjuaa mbaya wangu huyu
😂😂😂😂ndio wanasemaga usk na kz njema eenh.?Apo sawa sasa tuliaa anko kaagiza karanga za kutosha na kung fu energy drink ukitoka chinaa kazi unayo
[emoji38][emoji38]umeona jibu.?Afadhali umenisaidia kuuliza
Maji ya wikiendi. ?Nipe tena wabaya wangu leo wakanywe majii
@Obe Anko anasema anapewa makopa pale pale ulipomwacha [emoji85] [emoji41]
[emoji19] [emoji19] umeanza vizuri kbs ila huko mwisho umeharibu,kwani ss wapo wangapi, ?....hayo makopa kayanunua kama wabunge wa upinzani, asikutishe.
Kama vipi na wewe nipe makopa ajue kabisa kuna maisha bila kuhonga. (Wallah tena, nikilipwa pesa yangu utapenda, wewe peke yako)
Mwambiee anko kuwa mm napewa makopaa huku
Apo sawa sasa tuliaa anko kaagiza karanga za kutosha na kung fu energy drink ukitoka chinaa kazi unayo
[emoji19] [emoji19] umeanza vizuri kbs ila huko mwisho umeharibu,kwani ss wapo wangapi, ?
[emoji126] [emoji126] karanga zimekuja na energy drink? ?.....lakini si ulisema wewe ni rafiki tu[emoji849] mbona unakuwa na wasiwasi na unanichanganya!? Kama ni rafiki tu basi mimi na Mary tutazibangua tutakupa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee.Na usisahau nimepita kwa wale wamasai kuangalia kama wameleta shanga za kumwekamweka na ile dawa ya kusaidia kuchelewa kukojoa
Naenda China hivoo......yaani uko mmoja tu kama mama wa Jesus. Hapo mwisho ulimi uliteleza, oh sio ulimi ni kidole
Naenda China hivoo