Ukisikia mchawi ndugu ndo namna hii Sasa, leo anko wangu amekuwa ni mtu wa kutaka kunipindua kweli?
Nikienda kumwambia aunt nitachukiwa




Tangu lini ukaanzaa kuongaa....hayo makopa kayanunua kama wabunge wa upinzani, asikutishe.
Kama vipi na wewe nipe makopa ajue kabisa kuna maisha bila kuhonga. (Wallah tena, nikilipwa pesa yangu utapenda, wewe peke yako)
China naenda kuleta Chura ss......usiende beibe, njoo Ntwara tuyajenge, au mi ndo nije hapo Dar


![]()
umeanza vizuri kbs ila huko mwisho umeharibu,kwani ss wapo wangapi, ?
Ubahili utakuponza usipoangaliaUkisikia mchawi ndugu ndo namna hii Sasa, leo anko wangu amekuwa ni mtu wa kutaka kunipindua kweli?
Nikienda kumwambia aunt nitachukiwa
sema nna subira kungoja za koroshow
Hilii limetokaa moyoniii polee sana.....naona unaendeleza mkakati kama ultimatum ya CCM kuwanunua wabunge
Hili kopa umenunua shngapi?
Na usisahau nimepita kwa wale wamasai kuangalia kama wameleta shanga za kumwekamweka na ile dawa ya kusaidia kuchelewa kukojoa
Anko ntakuletea zawadi48 level siti na waliosimaaa 5
unatenda haki kbs
Utafumuliwaaa mpaka ukatee rufaaAiseee.
Naombeni niwe mlinzi wa zamu kwakweli
Ubahili utakuponza usipoangaliasema nna subira kungoja ja koroshow




usimfanyie hvyo binamu yanguKaza Anko na uende kule kwa wajedaTangu lini ukaanzaa kuongaa
Mambi vp Chief?Kazii anayoo
Ukisikia mchawi ndugu ndo namna hii Sasa, leo anko wangu amekuwa ni mtu wa kutaka kunipindua kweli?
Nikienda kumwambia aunt nitachukiwa

Chief niko poa kabisaaMambi vp Chief?
Mmhhh,,,Kazii anayoo
Kufumuliwa..?Utafumuliwaaa mpaka ukatee rufaa
Sijui binamu yako anakwama wapi kwakweli.ataambilia patupuusimfanyie hvyo binamu yangu