Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kumbe nimekosea kuuliza
Malkia ndio mpenzi wako wa pekee eenh



humkumbukii kabla hajatokomeaa
Kumbe nimekosea kuuliza
Malkia ndio mpenzi wako wa pekee eenh



humkumbukii kabla hajatokomeaaThe song's lyrics include the lines:
Quote Message: I have an illness. If you date me, don’t joke about dumping me. I'm likely to faint. If you cheat, I will faint. If you don’t give me money. I will faint. If you don’t come home, I will faint. If you switch off your phone, I will faint." from Idibala lyrics King Monada
I have an illness. If you date me, don’t joke about dumping me. I'm likely to faint. If you cheat, I will faint. If you don’t give me money. I will faint. If you don’t come home, I will faint. If you switch off your phone, I will faint."
Idibala lyricsKing Monada
....hizi lyrics nimezicopy BBC Africa Live
Wimbo unaobamba huku kwa Madiba, tafasiri yangu isiyo rasmi kwa Kiswahili 'Nina ugonjwa, ukinitongoza usinitanie kuwa utaniacha- nitazimia. Nitazimia. Usiponipa hela, nitazimia. Usipokuja nyumbani, nitazimia. Ukinizimia simu, nitazimia
hi binamuShikamoooweeeee usinitanie, ila bila shaka atakuwa na baby mpya
BinamuAsante Shunie kwa magazeti. Sasa leo niko hapa mapema, namtaka Behaviourist afute kauli yake kuwa nakujaga saa nane usiku.
Leo mapemaaaaa, nimemaliza kupasha kiporo nikaenda jogging afu nikawa kwenye chama langu la maveterani tumepiga soka sasa hivi maveterani tunakula supu bia na chapati kulea vitambi

Usigune, wengine hamu/nyege zetu zinakuja mara tatu kwa mwezi kama hedhi

Binamu![]()
![]()
![]()
![]()
Shikamo mkuuMe nayajulia wap ya ukoo wenu
Naachaje kukumbuka baba P jamanihumkumbukii kabla hajatokomeaa
Ebu aje atuambie kwanza jinsia gani mama mtotoTumpe jina letu huyo mtoto![]()
![]()
![]()
Mm nimeuliza tu jamani
Nakuja mbeya kukutekenya