Yaaan chonde chondeeee kumbuka nina moyo wa nyamaNa aje hapa....laasivo
Utajijua leoYaaan chonde chondeeee kumbuka nina moyo wa nyama
Lakiniiii kipenziiiii wabaya wetu wengiiii...Utajijua leo





Lakiniiii kipenziiiii wabaya wetu wengiiii...
Kwanza wananionea geree kitendo cha kukusubiria kwa miaka 2![]()



...sidanganyiki
...sidanganyiki
Ebu niambie bwana ulikuwa unasemaje
Ngoja mwenye maliia ajeNilitaka nikupe mualiko uje kwangu tushiriki chakula cha jioni
Week hii inayoanzaAsanteee mrs infoo
Kwan china kuna habari ganiii?
Hizo korosho za binamu sitaki hata kuzisikiaBinamu ashakuleteaa korosho kwelii make kajichimbia huko
Marahaba jamani za wwShangazi shikamoo!
Mama mtoto unaendeleaje na mtoto
Hivi una wapenzi wangapiMuuupeeeenziiiii
Sitaki kuzisikia habari za korosho zako....msimu ndo kwanza umeanza, sasa asubiri niuze kisha nimnunulie kisado kizima korosho zilizokaangwa
Jamani dingiShunie futa iyo kauli, la sivyo , patakuwa hapatoshi
Mkuu chakula gani hikoNilitaka nikupe mualiko uje kwangu tushiriki chakula cha jioni
Hivi una wapenzi wangapi
Kumbe nimekosea kuulizaKwaa taarifa yako leo hakuna cha nyama choma wala maji ya taifa