Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Shangazi shikamoo!Mwanaume wa dar umeanza
Shangazi shikamoo!Mwanaume wa dar umeanza
Binamu kuna watu wanajiulizaa unagegedaa saa ngapiii...
Niwajibu ?
Muuupeeeenziiiii
Binamu kuna watu wanajiulizaa unagegedaa saa ngapiii...
Niwajibu ?
Binamu ashakuleteaa korosho kwelii make kajichimbia huko
Binamu ujuee siku hizi tokea malkia arudiiii sipendii fitina zako ........waaache tu anko, hawa kule Rufiji ambako almanusra ufungwe kwa kuoa mtoto wa shule wanaitwa wazee wa fitna.
Natumaini umeamka salama anko
....msimu ndo kwanza umeanza, sasa asubiri niuze kisha nimnunulie kisado kizima korosho zilizokaangwa
Leo kaziii mwanahawa anayooAsante Shunie kwa magazeti. Sasa leo niko hapa mapema, namtaka Behaviourist afute kauli yake kuwa nakujaga saa nane usiku.
Leo mapemaaaaa, nimemaliza kupasha kiporo nikaenda jogging afu nikawa kwenye chama langu la maveterani tumepiga soka sasa hivi maveterani tunakula supu bia na chapati kulea vitambi
Binamu ujuee siku hizi tokea malkia arudiiii sipendii fitina zako ....
Niko salama kwa sasa dawa za presha na sukari tunakaa nazo karibu make huu mwisho wa mwaka walahiii kwelii anko kamba kakazaa
Usigune, wengine hamu/nyege zetu zinakuja mara tatu kwa mwezi kama hedhi
Binamu ujuee siku hizi tokea malkia arudiiii sipendii fitina zako ....
Niko salama kwa sasa dawa za presha na sukari tunakaa nazo karibu make huu mwisho wa mwaka walahiii kwelii anko kamba kakazaa
Shunie futa iyo kauli, la sivyo , patakuwa hapatoshiMwanaume wa dar umeanza
Hahahaha kwahiyo unamshawishi na Lyon awe kama wewe
...hapana, anko wangu huyu ana tabia za ukoo, nyumba nyingi ndo jina la nyumbani
Mupeeeenziiiii walahiiii usimsikilizeeee anko wanguAkiongea ukweli unaita fitna....yangu macho
Mupeeeenziiiii walahiiii usimsikilizeeee anko wangu