makapuku
weeeee usinitanie, ila bila shaka atakuwa na baby mpyaWe bintiiiii jamani halafu tetra karudi ujue
unataka nitukane eeeh,kesi ya nini sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii sasa ni kesi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nijiandae nini sasa,nilishapona siku nyingiiiNampa taarifa kabisa ajiandae kisaikolojia
Acha tu mkuu leo nimejikuta nasikiliza sana.Malcom Lumumba wikend ya Reggae naona, na unazichanganya zote sweer na classic
Bora unyamaze zako mwayaMm simo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaah acha tu, kuna mdogo wangu alikiwa anawapenda hawa hadi utamuonea huruma.