...huyu ni Mdachi, ana miaka 69 na kaamua kupeleka suala mahakamani ili aruhusiwe kubadili umri wake toka miaka 69 aliyonayo hadi miaka 49.
sababu za kupunguza miaka ni kuwa anahisi kunyanyapaliwa katika masuala ya kupata kazi, na mikopo na zaidi ni kwamba anakosa wapenzi mtandaoni kwa kuwa wanamuona jua limezama kiumri.
Hoja yake nyingine ni kuwa madaktari wamemueleza mwili wake ni kama mtu wa miaka 45 so kama mtu anaruhusiwa kubadili jina, kubadili jinsi (sex) na jinsia (gender) basi kwanini asiruhusiwe kubadili umri wake.
najua utaiona hii kwenye Je wajua baadaye hapa jukwaani
Link:
Dutchman, 69, sues to lower his age