Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuelekea Ijumaa, burudika na muziki huu mzuri na shukrani za kipekee kwako kapuku unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo, marybaby , Numbisa , Tumosa , Shunie , nimewataja nyie ila lengo langu ni kumtaja huyo wa kwanza ili niendelee na anko wangu Lyon Lee , ningendako , dingimtoto Behaviourist , Mndali ndanyelakakomu kutaja wachache mnaonipa kila sababu ya kuja hapa muda wote

Asante sana binamu,,wimbo mzur sana hasa ukiwa na mto unaopumua[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom