Makapuku Forum

Makapuku Forum

wadada weng wamekuwa wakijisahau wanapotoka katika miznguko yao wanapata uvivu wa kusafisha uso ilihali uso unakuwa tayari umefanyiwa make-up na kuwekwa vipodozi, hii ni hatari kwa afya ya ngozi kwa sababu unapokwenda kulala mwili unatakiwa kupumzika hivyo make-up uankuwa imeziba vitundo vidogo vya hewa vinavyoapatikana usoni.
 
USILALE UMEVAA SIDIRIA.

Tunasema kuwa hizi ni tabia mabazo zimekuwa za kawaida kwa maisha ya watu na kuona kama hakuna mdhara yoyote lakini yapo, wanawake wanaovaa sidiria wakati wa kulala wapo katika hatari kubwa ya kupata saratani ya matiti.
 
EPUKA KULALA NA SIMU KARIBU YAKO.

Wanasayansi wanasema kuwa kionzi ya simu ni hatari sana wa afya ya ubongo ya mwanadamu ingawa wengi wetu tumekuwa na tabia ya kuweka simu karibu na kivchwa kabisa wakati wa kulala, unashauri kuzima simu yako na kuaa nayo pembeni kutoka na usalama wa afya yako.
 
USILALE NA SAA UKIWA UMEVAA MKONONI.

Wanasayansi wanashauri kujitahidi kukumbuka kuuweka mwili wako kuwa na uhuru wakati wa kulaa, kitu chochote chenye kuufanya mwili wako kujihisi umebanwa sio kizuri, saa ya mkononi pia inaweza kuleta madhara sana kama utazoea kulala nayo.
 
_104238102_050466993.jpg


...huyu ni Mdachi, ana miaka 69 na kaamua kupeleka suala mahakamani ili aruhusiwe kubadili umri wake toka miaka 69 aliyonayo hadi miaka 49.

sababu za kupunguza miaka ni kuwa anahisi kunyanyapaliwa katika masuala ya kupata kazi, na mikopo na zaidi ni kwamba anakosa wapenzi mtandaoni kwa kuwa wanamuona jua limezama kiumri.

Hoja yake nyingine ni kuwa madaktari wamemueleza mwili wake ni kama mtu wa miaka 45 so kama mtu anaruhusiwa kubadili jina, kubadili jinsi (sex) na jinsia (gender) basi kwanini asiruhusiwe kubadili umri wake.

najua utaiona hii kwenye Je wajua baadaye hapa jukwaani

Link: Dutchman, 69, sues to lower his age
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom