Makapuku Forum

Makapuku Forum

...duh, hata wewe nilijua kwa vile wewe ni rafiki wa aunt yangu Shunie basi utakuwa ni ni ndugu yangu pia. Huyu marybaby anko wangu Lyon Lee alinizuia kabisa asinipe namba lakini nazijua fitna za anko wangu na sasa naona dingimtoto anakuja kwa kasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dingimtoto anakunyima usingizi
 
...huyu mary kwa kweli ninamfurahia, sasa kwa kuwa wewe ni ndugu yangu na unanijua kabisa binamu yako domo zege basi unajua cha kufanya (zawadi yako ya korosho ni ya uhakika, mimi sio kama mjomba wangu Lyon Lee alikuletea jezi iliyombana demu wake mpya)
Hahhaha ungejua mambo ya jezi yameisha ukiwa domo zege toa mahela tu na ulivyo mbahili sasa acha dingi akupokonye tu
 
Back
Top Bottom