Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
TunakujaMko wapi muda huu, mje kwa Shayo tulewe ,maisha yenyewe mafupi haya
VzrTunakuja
Dingi kumnyima mtu kitu unacho dhambiiiiii yaaan chaliii nakulwa weeeeh mpaka achoke mwenyewe
Hahaha
HahahaHahahhhaha
Baba wawili mm unanisingizia kabisa binamu obe huyo ndio kamuharibu binti
Mko wapi muda huu, mje kwa Shayo tulewe ,maisha yenyewe mafupi haya
Ulinikimbiaa kwa furaha ya chinaaSi ndio nakuona hapa
Hahaha binamu huwa unamuota vp kwan..huyu kabadilika mwenyewe hata mimi ananitisha sasa, kila siku namuota (nikiamini ni mdada/mwanamke ili isijekuwa mambo ya mwanamume wa mtwara kumuota mwanamume wa dar0
Hahaha
Ila binamu yule anaweza kuwa kweli kamharbu huyu bint mpole,,,anavimaneno flan hv vimejaa utatansh sana
Nije mtwara binamu kufanyaje halafu magazeti umeyaona kwanza....karibu Mtwara tafadhari, huu ndo msemo wetu sisi huku
Hahhaha eti kuna maono kayaona kwa maryHahaha
Dingi anasemaje tena
Mary kuna vimaneno vya binamu kamuigaHahaha
Ila binamu yule anaweza kuwa kweli kamharbu huyu bint mpole,,,anavimaneno flan hv vimejaa utatansh sana
..huyu kabadilika mwenyewe hata mimi ananitisha sasa, kila siku namuota (nikiamini ni mdada/mwanamke ili isijekuwa mambo ya mwanamume wa mtwara kumuota mwanamume wa dar0





