Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Hivi baba wawili huyu mary alivyokuja alikuwa hivi jamani hata kunyonywa alikuwa hajui hivi unakumbuka akawa anajifanya binti mlokoleNdio maombi ya kukulwa???
Hivi baba wawili huyu mary alivyokuja alikuwa hivi jamani hata kunyonywa alikuwa hajui hivi unakumbuka akawa anajifanya binti mlokoleNdio maombi ya kukulwa???
Hahhaahah siwezi mdanganya Mungu wangu mmEeeh walokole kama mimi hapa
Milele Amina![]()
![]()
Nakusalimiaa sanaaaEiish
Unakutilia mashaka tena
Weeeeh ebu tulia ukoDah,,alafu leo nimehudhuria vyema kbs inabidi niwaage ss
Mm sijambo jamani naona ndio umeachiwaNakusalimiaa sanaaa
Mm sijambo jamani naona ndio umeachiwa
Nampa taarifa binamu ye aendelee tu kuja usiku wa manane
Si ndio nakuona hapaNilitekwaaa kwanii leo ?
Aah ushanitoa kwenye mood ngoja nilale tu,huweziiii
Kuna maono nimeona hapaBinamu yangu Obe unapokonywa huku mbebez wako
Nimepika ndizi samakiTunaelekea kuzuri sana umepika nn leo mzee wa maakuli
Ndege hafananao huruka pamojaNampa taarifa binamu ye aendelee tu kuja usiku wa manane
HahhahaNdege hafananao huruka pamoja