Ifahamu FlexPai simu ya kwanza Duniani ambayo unaweza ukaikunja kama karatasi kutoka kampuni inayoitwa Royole isiyofahamika na wengi.
Simu hiyo ambayo mauzo yake yameanza kufanyika nchini China kwa dola 1,291 (takribani milioni 3) ni simu ambayo unaweza ukaitumia kama kompyuta bapa (tablet) au ukaikunja na kuitumia kama simu ya kawaida.
Royole ndiyo imekuwa kampuni ya kwanza Duniani kutambulisha simu hizo zinazokunjika kama karatasi sokoni, kabla ya Samsung ambao wao walitangaza kuja na teknolojia hiyo kwenye matoleo ya simu zao zinazofuata.
Cc
Lyon LeeView attachment 922342