Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,097
Asante wangu
Pole malkia
Pole malkia
Hahaha wana vichaaWatapita nyumba kwa nyumba ama?
AmeenMungu bariki Tanzania
Ni poa mkushi za wwShunie niajeeee
Hahhaaa sijui kolokoloni binamu obe
Binamu unavyonitajia korosho unajua unavyonivuruga....hapana, mimi ni polisi jamii na ulinzi shirikishi na sasa hivi niko bize sana maana ni msimu wa kuuza korosho
Endeleeni kukulana jamani mlinzi wenu nipooo
Hahaha watu wametekana uko malkia acha niwe mlinzi tu kuwalindia jukwaa lisije likatekwa naloHahahaha umeanza lini
Hahaha watu wametekana uko malkia acha niwe mlinzi tu kuwalindia jukwaa lisije likatekwa nalo