Moja ya wimbo ninaokubali sanaaa!
Mi nalala usiku mwema
Binamu bwana uwe hata unagoogle bwanaAsante sana Shunie kwa magazeti, niliyasoma juujuu asubuhi ila sasa ndo nimekaa nayapia. Unalifanya jukwaa hili liwe sehemu nzuri kuwepo na sichoki kukuambia hili. Asante kwa Je wajua pia. Ila katika yote kwenye Je wajua huwa sielewi kabisa kuhusu shimo jeusi na mambo mengine ya milkway (dunia yetu) anyway ni uzembe wangu
Kumbe binamu we mdogo hivi khaaaa...nami huwa siuchoki kuusikiliza, nimekulia enzi za kina Gangwe Mobb na WWA (Weusi Wagumu Asilia) na bado naamini Jide ni mwanamuziki bora kabisa-kiushairi na kuwasilisha ujumbe wa muziki kwa hisia
HahahhahhaUtafiti ulifanyika USA mwaka 2015 na matokeo yalionesha kuwa wengi hutumia simu kukwepa kuongea na watu wasiowafurahia
Simu yangu nilinunuaga laki na 35 enzi hizoHii ndo simu ambayo inaongozwa kwa kuuzwa, jumla ya nakala milioni 250 za simu hii Nokia 1100 ziliuzwa. Nilimiliki 3310
![]()
Mbona huku kwetu hainyeshi jamani jotooNalinda jukwaa hadi pale nitakapopata usingizi, mvua inanyesha na paa langu natamani lingekuwa la nyasi, yaani kelele batini utasema wanapita wanaotuamsha kula daku
Mm sitakii jamani shikamooShikamoo Shangazi!
Baba wawili jamani nn tena
Pole malkiaAsante shunie...naenda sambamba na mikesha
Hayo ndiyo matunda ya kufanya kazi nzuri Shangazi!Baba wawili jamani nn tena