Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Nimeamka salama jamani baba wawili wangu wa kudownload vipi we na watoto na mama yaoHahaha mambo ya picha mambo ya vijana hayo..
Kwema shunie??umeamka salama huko?
Nimeamka salama jamani baba wawili wangu wa kudownload vipi we na watoto na mama yaoHahaha mambo ya picha mambo ya vijana hayo..
Kwema shunie??umeamka salama huko?
Naomba kwenye uzinduzi niwepoTuko tunapambana mkuu..
Nataka nifungue kiwanda cha beer..
Nitakuwa naproduce kwa ajili ya eneo fulani tuu.
Watt ni watt tu,,wawe wa kudownload au wasio,,ndio tyl nmeshakuwa baba wawlNimeamka salama jamani baba wawili wangu wa kudownload vipi we na watoto na mama yao
Hahaaa ...Naomba kwenye uzinduzi niwepo
Hahhaha utajua mwenyewe mm nakuita hivyohivyoWatt ni watt tu,,wawe wa kudownload au wasio,,ndio tyl nmeshakuwa baba wawl
Huku kwema kabsa,,vp ww u mzima huko??
Watu wanapenda sana pombeHahaaa ...
Usijali mama D...!
Nimefanya research ya fasta fasta, naona pombe inauzika mvua iwepo au isiwepo.
WoyooooooooooNiliwamiss humu
Salama jamani za wwMabibi na mabwana humu makapuku habari za j3
Likizo ilikua ndefuu...vipi magazeti bado yapo?Woyoooooooooo
Naliheshimu jua uwiiSayari ya Jupiter ni kubwa kiasi cha kwamba kama bara la Afrika lingekuwa kwenye sayari hiyo, hivyo ndivyo jinsi bara hilo lingeonekana kama mshale unavyoonesha hapo kwenye picha.
Ndani ya Jupiter unaweza ukaziweka Dunia 1,300 zikatosha ila licha ya ukubwa huo bado Jupiter ni ndogo sana ukilinganisha na Jua yenyewe inaweza kuingia mara 10 kwenye Jua. View attachment 922340
Hahhahah we mwanamke nimekumiss sana magazeti yapo panda juu utakutana nayo ya asubuhiLikizo ilikua ndefuu...vipi magazeti bado yapo?
Jua limenipiga leo woii nilikuwa nachemka tu na hivi nilivyo nimeivajeNaliheshimu jua uwii
Salama jamani za ww