Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mshambulaiji wa Argentina Mauro Icardi hajaanza bado mazungumzo ya kupata mkataba mpya na klabu yake ya Inter Milan ingawa bado ana mkataba na klabu hiyo, mshambuliaji huyo anaweza kutolewa Milan kwa dau la pauni milioni 96. (Tiki Taka, via Goal)
 
Beki wa kulia wa Tottenham Danny Rose, 28, amemtetea mchezaji mweza Harry Winks, 22 baada ya kuwepo kwa madai ya kushuka kiwango kwa winga huyo kunachagizwa na kupewa sifa ya kucheza kama Inesta. (London Evening Standard)
 
.
Screenshot_20181010-124846.jpeg
 
Utajiri na umasikini vipo kwaajiri yetu

Tajiri huonekana kwa kuwa masiki yupo

Masikini huonekana kwa sababu tajiri yupo

Maisha ni kutegemeana

Jifunze kusaidia wale wenye uhitaji pale unapo kuwa nacho

Jitahidi kuhimiza vijana wafanye kazi maana wakati ni sasa

Kazi za kufanya haziko ofisini tu
Unaweza kulima kufuga umachinga udobi genge zote ni kazi maana kujituma kwako ndio mafanikio yako

Jitahidi kusema ukweli daima

Ondoka sehemu iliyo fitinika

Simama kwa kuamini wewe ni mhimu kuliko yule anae kusema vibaya

Pokea ushauri hata kama unajua hauwezi kukusidia hii itakupa heshima mbele ya mtoa ushauri kuwa we we ni msikivu

Ogopa kuishi kwa dharura

Ishi kwa mipangilio unayo jiwekea

Tufanye kazi kwa bidii ili wanao kuja nyuma yetu wajifunze kwetu

Kumbuka ulipo wewe ni kioo cha mtu huwezi kujua maana uko bize na anae kuona kioo chake anakufuatilia kwa umakini mkubwa

TUWE NA MCHANA MWEMA
 
Shikamoo kaka ake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom