Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
SijamboMarahaba hujambo?
Ni njema sana
Unawapenda wote isipokuwa mimi ndiyo maana hutaki kufanya homework yangu!Muwe na jioni njema,nawapenda wote

Mimi ni kinara wa namba 3!KAMA UNAFANYA HAYA BASI WEWE NI MMOJA KATI YA WATU WANAOUDHI ZAIDI KWENYE DALADALA
1. Kulala ndani ya daladala na kumuegamia mtu wa jirani, unamkwepa anashtuka na baada ya dakika moja anakuegemea tena! Mbaya zaidi anatoa harufu mbaya kukohoa na kupiga chafya bila kujizuia.
2. Harufu mbaya. Umepanda gari ghafla anaingia mtu kabeba mzigo wa samaki. Anaingia nao ndani na kukaa karibu na wewe. Au umekaa na mtu pembeni anaimba/kuongea na anatoa harufu kali mdomoni!
3.Mtu anaongea sana na kukulazimisha umsikilize. Au anataka kila mtu ndani amsikilize yeye. Anaongea kwa sauti kubwa na wakati mwingine, mate yanatoka kinywani.
4. Mmefika kituoni, ghafla anatoka mtu kutoka nyuma anapita kwa nguvu na kumkanyaga kila mtu na hasemi/ hakusema kama anashuka.
5.Mtu anakukodolea macho toka mwanzo mpaka mwisho wa safari. Kumzuia mtu huyu, na wewe mtazame sehemu mojawapo ya mwili wake(isiwe usoni ). na atakosa ujasiri huo tena

Mkuu mzima umepotea.Sijambo
Mzima?habari za usiku huu
Ubaguzi huu. Wapande nn hao wanene?
Huyu ndie Leleti Khumalo maarufu kama Sarafina ambae kwa sasa anasumbuliwa na ugonjwa wa Vitiligo unaoathiri ngozi yake, Sarafina aligundua ana tatizo hilo akiwa na miaka 24 na aliambiwa tatizo hilo lingekuwa kubwa akipata Mtoto ambapo alikubaliana na hali hiyo na kuamua kuzaa.View attachment 893679
TUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kutuamsha salama leo ALHAMIS Tarehe 11 oktoba 2018..Asante kwa pumzi hii Baba tunakuomba endelea kutulinda na kutusaidia tukutumikie Mfalme wa Amani maana wapo wengi walitamani kuiona siku ya leo wakiwa na mipango mingi na mizuri hawajaweza.Tunaomba Toba kwa yote tuliyoenda kinyume na Mapenzi yako kwa Mawazo Maneno na Matendo Uturehemu Eee Baba .Tunaomba Roho Mtakatifu Kaa nasi tufundishe kuwa wanafunzi wema tupiganie tuwe na mioyo safi ili siku ya mwisho tuingie Mbinguni.Asante kwa uponyaji wa wagonjwa Baba ..Endelea kutuimarisha miili na Roho zetu tuwe salama.Asante kwa Ufariji kwa wafiwa Baba endelea kuwa faraja kuu kwa wajane,wagane na yatima tupe tumaini lidumulo.Asante kwa Umoja,Upendo na Ushirikiano katika Mahusiano, familia na makundi mbalimbali Endelea kutupa moyo wa kuvumuliana na kumuona kila mmoja ni muhimu katika maisha haya.Bariki kazi za mikono yetu.Tunawafunika kwa damu Takatifu watoto na wajukuu wetu waendelee kuwa salama miili na Roho.Epusha wimbi la wizi wa watoto Baba Tunazifunga Roho zote za giza zinazoshiriki wizi huu ,zishindwe katika jina la Yesu Kristo na watoto wote waliopotea wawe salama na warudi kwao salama.

Nko mzima hbr ya leoMzima?habari za usiku huu
Shikamoo rafikiMimi ni kinara wa namba 3!![]()
Hata ww nakupenda mno,homework yko bado umenipa kaz ngumuUnawapenda wote isipokuwa mimi ndiyo maana hutaki kufanya homework yangu!![]()

TUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kutuamsha salama leo ALHAMIS Tarehe 11 oktoba 2018..Asante kwa pumzi hii Baba tunakuomba endelea kutulinda na kutusaidia tukutumikie Mfalme wa Amani maana wapo wengi walitamani kuiona siku ya leo wakiwa na mipango mingi na mizuri hawajaweza.Tunaomba Toba kwa yote tuliyoenda kinyume na Mapenzi yako kwa Mawazo Maneno na Matendo Uturehemu Eee Baba .Tunaomba Roho Mtakatifu Kaa nasi tufundishe kuwa wanafunzi wema tupiganie tuwe na mioyo safi ili siku ya mwisho tuingie Mbinguni.Asante kwa uponyaji wa wagonjwa Baba ..Endelea kutuimarisha miili na Roho zetu tuwe salama.Asante kwa Ufariji kwa wafiwa Baba endelea kuwa faraja kuu kwa wajane,wagane na yatima tupe tumaini lidumulo.Asante kwa Umoja,Upendo na Ushirikiano katika Mahusiano, familia na makundi mbalimbali Endelea kutupa moyo wa kuvumuliana na kumuona kila mmoja ni muhimu katika maisha haya.Bariki kazi za mikono yetu.Tunawafunika kwa damu Takatifu watoto na wajukuu wetu waendelee kuwa salama miili na Roho.Epusha wimbi la wizi wa watoto Baba Tunazifunga Roho zote za giza zinazoshiriki wizi huu ,zishindwe katika jina la Yesu Kristo na watoto wote waliopotea wawe salama na warudi kwao salama.
Baba Asante kwa Neema na Baraka zote unatugusa kwa namna ambayo hailezeki Asante kwa Upendo wa hali ya juu ambayo hauelezeki. Tunakushukuru kwa ajili ya Imani tuliyonayo kwako inatupa Amani na hakika Baba hatuna tunayemtegemea zaidi yako Yehova.Tunakabidhi kazi zetu,ratiba zetu ,mawazo yetu na kila tutakapo kuwa leo uwepo.Tunaomba kibali katika kika tufanyalo.
Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen
ALHAMIS NJEMA NA SHUKURANI KWA MUNGU KWA YOTE ANAYOTUTENDEA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE![]()
Habari ya Leo nzuriNko mzima hbr ya leo
Ubaguzi huu. Wapande nn hao wanene?