@Lyon Lee ndio najuana nae nje ya jf
Obe hata kumjua simjui hata anavyofanana kuna mda nahisi ni mbabu hivi mzee halafu kuna mda nahisi kijana kaben10 flani kiufupi binamu
Obe simuelewi
Kujuana nje ya jf sio big deal wick hata mm na ww tunaweza juana kikubwa ni kujiamini
Watu wengi humu jf hawajiamini ndio mana baadhi hawataki kujuana na watu