Makapuku Forum

Makapuku Forum

5.usisikilize watu.

Ninaposema usikilize mtu , kuna watu wanapenda kukatisha watu tamaa , ukiwa umeamua kufanya kitu songa mbele bila ya kusikia ya watu. unaweza kusikiliza lakini unapima. kama yana akili.


6.Changamoto itakufanya utokezee mahali.

kama ukikutana na watu wenye mafanikio makubwa , wale wanaojulikana ulimwenguni , wamepitia changamoto nyingi na ngumu sana. na ni lazima uelewe hakuna mafanikio yanayokuja bila ya changamoto. . changamoto huleta mafanikio na mafanikio huleta changamoto. huwezi kufanikiwa ikiwa maisha ni rahisi .
Santeeeeee numbi
 
5,MWAGILIA MBEGU

Maisha yetu ni sawa na shamba au mmea uliooteshwa ,unatakiwa kumwagiliwa na kupaliliwa ili uwe na rutuba na afya njema, wakati tunapopalilia tunaondoa uchafu na vitu ambavyo vinaleta kukosesha hewa , kwa hiotunatoa ili kuacha mwili uwe safi .

unapokuwa na tabia nzuri unajiongoza kuwa na mawazomazuri,jisamehe mwenyewe, usiige tabia za watu ,amini utendacho,fanya upendacho,kula vizuri ,matunda mboga ,tafakari ,ishi sasa.

6. FURAHIA MIPANGO ULIONAYO.

Acha kufikiria mambo yaliyopita,anza kufikiria yaliyopo , Hakuna mtu ambaye anaweza kurudi nyuma nsa kuanza upya, lakini unaweza kuanza upya ulipo na kumaliza salama safari yako yenye mafanikio makubwa.

Kufanikiwa kuwa na afya kila mtu anataka, furahia maisha,furaha ya kweli haiji tu kwa kuangalia TV.au kuangalia idadi ya vitu ulivyonavyo hapana , furaha ya kweli huja pale unapofurahia kila dakika na kilahatua ya maisha yako ya ushindi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom