Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Nimekuja chap kuna habari gani?
Zamu yako kulinda jukwaa leo,kuna sehemu nmekuona nnavokatizaNimekuja chap kuna habari gani?
😛😛😛😛Binamu nifundishe kutupata huto tuemoj![]()
![]()
😛😛😛😛
...naona wanaotumua app kwa simu au tablets/ipad wanakuwa na emoji nyingi ila kama ndo unatumia simu unayotumia hiyo emoji utaisubiri kesho jana
kwa hyo ww unatumia nnsikai mbele mie!.Ya mbele kabisa![]()
![]()
![]()
Zamu yako kulinda jukwaa leo,kuna sehemu nmekuona nnavokatiza

wapi huko!?..,,,yaani binamu ukiniita tu mimi natupia limuziki lenye gitaa ndani
nilikumiss binamuBasi nenda bakibenchasikai mbele mie!.
Hawezi kuja yulewapi huko!?..
Kulinda silindi hata kwa ngumi, tumsumbue bibi yako aje tu!.