Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,116
- 1,249,272
1,KUWA MAKINI NA MAWAZO NA MATENDO YAKO:
Mara nyingi tunachukua muda mwingi kujiuliza tabia zetu ambazo zinakuwa mbaya, kwa mfano ; kwanini nimechukua hatua hii , kwa nini mawazo haya yameibuka wakati nafikiria kuhusu afya .
2.SIKILIZA MWILI WAKO UNATAKA NINI:
Je unahisi maumivu , msongo wa mawazo au uchovu? mwili wako unasema nini muda huu? mara nyingi mwili wako huwa unakupa vielelezo au saini ya kutaka kitu fulani na kukataa kitu kingine,lakini kutokana na hali ya maisha inakuwa ngumu kufuata matakwa ya mwili, tunakuwa tunalazimisha kula vyakula ambavyo havistahili .ndipo hapo mwili unapovunjika .
changamoto hizi za mwili na chakula ziko kukusaidia wewe na kukufundisha kusikiliza .