Yupo vp rafiki unamuhitaji?Shululu yuko wapi?
Halafu nakukuta makapuku tu, mitaa yako ipi wewe?. Kama huna nikupeleke sehemu.Hawezi kuja yule
Nmesahau ni wapi ila nilikupa like
Kiranja wa forum hii ya makapuku upo?....ulishafanyia kazi lile ombi langu?Yupo vp rafiki unamuhitaji?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mm mlinz mkuu wa hapa,unataka unipeleke wapiHalafu nakukuta makapuku tu, mitaa yako ipi wewe?. Kama huna nikupeleke sehemu.
Lipi mkuuKiranja wa forum hii ya makapuku upo?....ulishafanyia kazi lile ombi langu?
Ataachaje kunijua mtu kama mimiDuh!!....kiranja anadai hakujui!
Kama hujawapata nitashauri unyang'anywe hiki cheo cha ukiranja!Lipi mkuu
Wenye vyura sijawapata
Haina shida cheo chenyewe hakina hata malupulupu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama hujawapata nitashauri unyang'anywe hiki cheo cha ukiranja!
Nimwite mimi uje umkaribishe wewe?!....mbona majanga!!Baba wawili karibu shululu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haina shida cheo chenyewe hakina hata malupulupu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua ni nani kwangu huyoNimwite mimi uje umkaribishe wewe?!....mbona majanga!!
HaaaaahaaaaNimwite mimi uje umkaribishe wewe?!....mbona majanga!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo ww unatumia nn
Mimi sina haja ya kuyajua hayo ninachotaka fanya ile assignment yangu kwanza![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua ni nani kwangu huyo