hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,502
- 73,684
Asante Chief .. salamu zirejee kwako pia".. u- mzima ""?Nakusalimia mkuu
Asante Chief .. salamu zirejee kwako pia".. u- mzima ""?Nakusalimia mkuu
haswaa' ni jambo la kushukuru KwakweliNa makucha yake
Mm mzma ..abj anakusalimia yuko apa anaandaa chaii wewe nengenekwaa hapa ukimsubiriaAsante Chief .. salamu zirejee kwako pia".. u- mzima ""?
hahaa ..ule ugonjwa wako bado haujapona"" ABJ yupo kwangu huku muda twajiandaa kwenda kazini ndio namalizia kumfunga zeep mgongoni".. so huko kwako amefika saa ngapi brother ""?Mm mzma ..abj anakusalimia yuko apa anaandaa chaii wewe nengenekwaa hapa ukimsubiria
hahaa nahisi wewe ndio utakuwa umelala na jini" hebu jaribu kumkemea .then utupatie mrejesho humu".. brother kuwa makini usije kunyonywa damuBhas umelala na jini
Waoooooooo!....Afadhali arudi,hakuna kama dada ila lazima anieleze alikuwa wapi!
Habari za usiku mkuu
Nzuri kabisa shemela, za kwako shemela wangu