Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahahaha wana hasira si wakina na stress hawana pa kupunguzia
...ni kweli pananihusu hapa ndugu yangu wewe, kwanini na ninafurahi umenihusisha hapa ni kwa sababu inakadiriwa wavutaji sigara Tz wako kama milioni 4 watoe wale vijogoo vya form two. Hawa huvuta pakiti milioni 81 za sigara kwa mwaka na kuliingizia taifa bilioni 38 na kumbuka hizi ni takwimu za mwaka 2015 na usiwasahau ndugu zetu zaidi ya elfu 70 wa mikoa ya Tabora, Iringa na Moro kutaja michache walioajiriwa kwenye kilimo cha tumbaku na viwanda vya sigara.

Asante kwa kuniita hapa, na kuhusu hasira, watu wasiokunywa pombe, wala kuvuta sigara wana hasira sana, sijui kwanini
 
jamani anapandaje hapo
,,,na tena anakaa kwa raha sana, kuna apartment moja kule Ngudu kodi ni elfu 27 mia tano kwa mwezi. na ukipanda lazima kama ni mwanamke uwe umevaa kyupi
2757991_img20150818185733_jpeg14044f02e3dc5d06b0d358decfbeab1a
 
...yaani ukilala unakuwa kama moja, umenyooka bora gogo lina vinundunundu.

Hivi mnaongelea nini, mjue kukata magogo hakuruhusiwi hasa ukiwa safarini maporini na magogo ya mbao yanasababisha ukataji wa miti
Kwani binamu ww umeelewaje
 
Binamu ebu tupumzisheni jamani na man u yetu
Nipo binamu, naangalia mpira hapa maana timu yangu huu mpira inaocheza bia inashuka kilulaini, sio kama mashabiki wa Man u siku hizi wakiwa wanaangalia mpira wanakunywa safari lager
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom