Sawasawa binamu nawaombea mfunge ili hela yko ya bia isikuumeNipo binamu, naangalia mpira hapa maana timu yangu huu mpira inaocheza bia inashuka kilulaini, sio kama mashabiki wa Man u siku hizi wakiwa wanaangalia mpira wanakunywa safari lager
..wewe lala, mimi nitalinda hapaUcku mwema wapendwa kesho nayo ni siku
Ewaaaa swadakta, swahiba unapajua kumbe eehKwa shayo kimara suca?
Naam ,kapiga hii mnaita nini cjui wenyewe, inashikilia surualiNdo shayo huyo![]()
![]()
![]()
![]()
kwenye mgao lazima uhusikeNakuombea uokote mahela mengi shemela![]()
![]()
![]()
![]()
Mie nko poa kabisa
Uniombee!..