Asante mrs info...hope umeamkaa salama
Wewe tanguu lini vyuma vikakazaaNimeamka salama sana sijui upande wako
Tutaonana baadae acha nipambane na vyuma vyangu kukaza
mmhhh!!..Nimekuombea na huwa nakuombea siku siku zote ubadilike uwe mkaka mzuri usiyetamani kila mwanamke hope utabadilika
Ukiwa unatoka dsm kabla hujaifika round about kuna hotel ipo kushoto wana kuku classic sana wale jamaa!..Napenda mishkaki ya pale round about sijui panaitwaje mishkaki ya mia mia sijui sasa hivi imepanda bei
Umesha okota tayarikwenye mgao lazima uhusike
sawa shemela
Nimekuombea na huwa nakuombea siku siku zote ubadilike uwe mkaka mzuri usiyetamani kila mwanamke hope utabadilika
