mji kasoro bwawa!.Ndo wap lakini![]()
![]()
![]()
Binamu Obe uko wap wkend bado haijanoga njoo
ABJ mekumiss mdogo wangu
Mzee wa ugimbi mtu chake
Kaka ningendako shikamoo
dingimtoto niletee mishikaki mie
Lyon Lee ndo ushatekwa nn
Rafiki wewe ni kiranja wa hapa?
marhabaaa shemela kama sio leo basi kesho nitaokota hela 😀😀@archiduke shikamoo shemela
we mwenyeji wapi!?..Mie mgeni huko![]()
![]()
![]()
Nakuombea uokote mahela mengi shemelamarhabaaa shemela kama sio leo basi kesho nitaokota hela 😀😀
mambo vp shemela
Umesahau mara hiiwe mwenyeji wapi!?..
Acha tu!.. we nikumbushe bana mnyalukolo!.Umesahau mara hii
Mm hapaNiko kwa Shayo kuna aliye karibu apite hapa,nimtoe uchovu na moja baridi,moja moto?
Mtumishi wa Mungu karibu Sana, shayo Leo kanipigia kitu matata sanaMm hapa