Makapuku Forum

Makapuku Forum

Apaa anko kawazaa ngono tu Obe anko bwana

...sasa niwaze nini anko na wewe akili zako bhana, niwaze hela kwani mimi Bill gates au gavana wa benki? Niwaze computer kwani mimi Apple au Sundar Pichai wa google? Nawaza kile ambacho kiko ndani ya uwezo wangu. Kwanini nitende dhambi kuwaza ambayo yako nje ya uwezo wangu? Huo ni wivu na wivu ni dhambi au wewe anko kanisani unaendaga kuangalia kwaya tu na shoo za kina Rose Muhando

Church_Lady_Wig_Fail.0.gif
 
...huyu ndo yule aliyemficha anko wangu wiki jana, kwani mlimuona huku na kisingizio chake eti alienda kufuatilia jezi ya manchester united
Jezi inatakiwa og na maandaliz juu anko

Nmekwama kidogo ankoo reservation time inakata uskuu huu na kesho kasafarii ketu ntakwama awa ea tanzania una utaratibu gan nao ...ao nikose yale mambo ufurahi
 
Jezi inatakiwa og na maandaliz juu anko

Nmekwama kidogo ankoo reservation time inakata uskuu huu na kesho kasafarii ketu ntakwama awa ea tanzania una utaratibu gan nao ...ao nikose yale mambo ufurahi

...pole anko, nakuelewa sana, eatz sio wa kuwaamini ni kama kumuwekea dhamana mmasai, ungendelea tu na utaratibu wa wale wa siku zote fj, yake mambo kukosa huwezi wewe jiandae tu na tangaza kuongeza mzigo/zawadi incase ukachelewa
 
Wameniingiza gharama mara 2 na usawa huu si ntakuwa nazimia watu simu make za vyeediiii zitatokaa wap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom