Binamu ky kumbe inaongeza nguvu za kiume khaaaa
...najua bhasi, yaani vijana wa humu utasikia ky sijui nini? Hivi hawana mate au japo vaseline kusaidia msuguano.
Khaaaaaa
Vyote hivyo vinatumika wapi sasa
Hapana binamu siijui...hivi nadhani vinatumika pale upande wa pili unapokuwa nao umetumia ndimu ya kichina, ile ndimu ya unga? unaijua
Hivi wewe hauna
TUOMBE:Mungu Baba Mwenyezi tuna kila sababu ya kusema Asante kwa asubuhi njema ya leo Alhamisi tarehe 4 OKTOBA 2018 Tunakuja mbele zako kwa shukurani kuu.Tunaomba toba kwa yote ambayo tumekosa kwa mawazo,maneno matendo uturehemu Baba.Tujalie utu wema na tuwe msaada kwa kila mmoja wetu.tunakabidhi miili yetu na roho zetu ili tuishi maisha ya kukupendeza bariki kuingia na kutoka kwetu,bariki kazi za mikono yetu ..wabariki na kuwalinda watoto na wajukuu zetu malaika walinzi wawalinde popote watakapokua leo damu takatifu ya Yesu Kristo iwafunike na malaika walinzi wawazingire.

Baba fariji wafiwa na walio na changamoto mbalimbali wakuone wewe.wape tumaini wajane ,wagane,yatima na wahitaji wote.
Tunaomba bariki kazi za mikono yetu zizae matunda ya kukupendeza.waponye wagonjwa wote mahospitalini na majumbani watakase na takasa kila dawa wanayotumia.
Asante Baba maana umekuwa mwema kila wakati fadhili zako hazina mwisho.Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen.
ALHAMISI NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO INENE MEMA NA
ITUFUNIKE
Cc@behaviourist
Ushamtakaa huna loloteeeMzee wa chura ukuje
Behaviourist
Tatizo sina chura mkuuUshamtakaa huna loloteee
Wekaaa sponjiiiiiiiTatizo sina chura mkuu
Bhasiiii mtafuter mchinaa ...churaa ina raha yake![]()
![]()
![]()
![]()
itaniumbua sponji
Nmeridhika na uflat wangu mkuuBhasiiii mtafuter mchinaa ...churaa ina raha yake